Ufafanuzi wa mkundu katika Kiswahili

mkundu

nomino

  • 1

    uwazi ulio mwishoni mwa utumbo baina ya matako ambako mavi hutokea.

    kinyo, tuu, nmwaranda

Matamshi

mkundu

/mkundu/