Ufafanuzi wa mkunjo katika Kiswahili

mkunjo

nominoPlural mikunjo

  • 1

    sehemu iliyopindwa au kupetwa ya kitu laini k.v. nguo au karatasi; mpeto wa kitu laini kilichopindwa; ukunjaji wa kitu laini kilichonyoka.

    ‘Mkunjo wa suruali’

  • 2

    tendo la kupeta au kupinda kitu laini.

Matamshi

mkunjo

/mkunʄɔ/