Ufafanuzi wa mkuno katika Kiswahili

mkuno

nominoPlural mikuno

  • 1

    tendo la kukwaruza kwa kucha au kwa kitu kilicho na meno k.v. mbuzi ya kukunia nazi au kibanzi.

Matamshi

mkuno

/mkunɔ/