Ufafanuzi wa mkunzo katika Kiswahili

mkunzo

nomino

  • 1

    uzi mwembamba wa madini au ngozi, agh. unaovaliwa mkononi.

    udodi, timbi

Matamshi

mkunzo

/mkunzÉ”/