Ufafanuzi wa mkupuo katika Kiswahili

mkupuo

nominoPlural mikupuo

  • 1

    umalizaji wa shughuli au tendo kwa mara moja.

  • 2

    mojawapo ya mara zinazochukua kumaliza shughuli au kazi.

    ‘Amechukua vitu vyote kwa mkupuo mmoja’
    ‘Amekunywa kikombe kizima cha uji kwa mkupuo’

Matamshi

mkupuo

/mkupuwɔ/