Ufafanuzi wa mkurugenzi katika Kiswahili

mkurugenzi

nominoPlural wakurugenzi

  • 1

    kiongozi wa shughuli za shirika au taasisi fulani.

  • 2

    mtu mwenye ujuzi mkubwa zaidi ya wengine katika mambo ya fani au kazi.

Matamshi

mkurugenzi

/mkurugɛnzi/