Ufafanuzi wa mkuyu katika Kiswahili

mkuyu

nominoPlural mikuyu

  • 1

    mti mkubwa wenye shina la rangi ya manjano iliyofifia au kahawia isiyokoza, wenye majani mapana ya mviringo, unaotoa utomvu kama gundi.

Matamshi

mkuyu

/mkuju/