Ufafanuzi msingi wa mkuza katika Kiswahili

: mkuza1mkuza2

mkuza1

nominoPlural wakuza

  • 1

    mtu anayeshughulika na kusawiri, kubuni na kutengeneza vitu au bidhaa mpya.

    ‘Mkuza programu’

Matamshi

mkuza

/mkuza/

Ufafanuzi msingi wa mkuza katika Kiswahili

: mkuza1mkuza2

mkuza2

kiwakilishi

  • 1

    mtu au kiumbe anayeongeza au kuzidisha kitu, sehemu ya mwili, umbo, ukubwa, maumbile, urefu au kimo.

Matamshi

mkuza

/mkuza/