Definition of mkuza mitalaa in Swahili

mkuza mitalaa

  • 1

    taasisi au mtu anayesawiri, kubuni na kutengeneza mfumo wa elimu au utaratibu wa masomo wa kiwango fulani.