Ufafanuzi wa mkwakwa katika Kiswahili

mkwakwa

nominoPlural mikwakwa

  • 1

    mti wa kichaka wenye matawi yaliyojinyonganyonga na vijitawi vinavyoning’inia, majani ya buluu na kijani iliyopauka yaliyokaa mbalimbali katika tawi na maua madogo ya kijani iliyokoza.

Matamshi

mkwakwa

/mkwakwa/