Ufafanuzi wa mkwakwara katika Kiswahili

mkwakwara

nomino

  • 1

    mti unaofanana na mhina na ambao majani yake hutumika kuwa ni mboga na matunda yake huliwa.

Matamshi

mkwakwara

/mkwakwara/