Ufafanuzi wa mkwaruzano katika Kiswahili
mkwaruzano
nominoPlural mikwaruzano
- 1
hali inayopatikana wakati vitu vigumu viwili au zaidi au kitu kigumu na laini vinaposuguana kwa nguvu na kuacha alama.
- 2
hali ya kutokubaliana au kutopatana baina ya watu, agh. wakati wa mabishano au majadiliano.