Ufafanuzi wa mkwaruzo katika Kiswahili

mkwaruzo

nomino

  • 1

    alama inayoachwa kwenye kitu kilichokwaruzwa au kukwangurwa.

Matamshi

mkwaruzo

/mkwaruzÉ”/