Ufafanuzi wa mla katika Kiswahili

mla

nominoPlural wala

 • 1

  mtu mwenye tabia ya kula kitu fulani.

  methali ‘Mla cha mwenziwe na chake huliwa’
  methali ‘Mla ni mla leo, mla jana kalani?’
  methali ‘Mla cha uchungu na tamu hakosi’
  methali ‘Mla kuku wa mwenziwe miguu imlekele’
  methali ‘Mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe’

Matamshi

mla

/mla/