Ufafanuzi wa mladi katika Kiswahili

mladi

nominoPlural miladi

  • 1

    kipande kidogo cha mti kinachotumiwa na mfuma nguo kwa kuzuilia uzi.

Matamshi

mladi

/mladi/