Ufafanuzi wa mlaji katika Kiswahili

mlaji

nominoPlural walaji

  • 1

    mtu ambaye hununua na kutumia bidhaa au huduma.

Matamshi

mlaji

/mlaʄi/