Ufafanuzi wa mlakasa katika Kiswahili

mlakasa

nominoPlural milakasa

  • 1

    mti unaoota pwani wenye majani mapana mazito ambayo hutumika kuwa ni chambo cha samaki au dawa ya kuogeshewa watoto wadogo.

Matamshi

mlakasa

/mlakasa/