Ufafanuzi wa mlale katika Kiswahili

mlale

nominoPlural milale

  • 1

    utandabui mweusi unaotokana na moshi k.v. wa jikoni.

Matamshi

mlale

/mlalɛ/