Ufafanuzi wa mlama katika Kiswahili

mlama

nomino

  • 1

    mmea utumikao kuwa ni dawa ya sumu ya nyoka.

Matamshi

mlama

/mlama/