Definition of mlamba in Swahili

mlamba

noun

  • 1

    ndege mweusi mdogo mwenye macho mekundu na mkia wenye panda na ana sifa ya ukali na hujilinda na maadui zake k.v. mwewe na kipanga.

Pronunciation

mlamba

/mlamba/