Ufafanuzi wa mlamu katika Kiswahili

mlamu, muamu

nominoPlural walamu

  • 1

    ndugu wa kiume wa mke.

Matamshi

mlamu

/mlamu/