Ufafanuzi wa mlandege katika Kiswahili

mlandege

nominoPlural milandege

  • 1

    mmea wenye matawi laini na majani laini ya umbo la duaradufu na maua ya manjano unaoota kwenye matawi ya mti mwingine.

    ngurukia

Matamshi

mlandege

/mlandɛgɛ/