Ufafanuzi wa mlango wa nyuma katika Kiswahili

mlango wa nyuma

msemo

  • 1

    njia za kichinichini au za kisirisiri za kupatia kitu kwa kutoa rushwa au kupendelewa.