Ufafanuzi wa mlasa katika Kiswahili

mlasa

nomino

  • 1

    mmea unaokua kama kichaka na kutoa maua madogo yenye mchanganyiko wa rangi nyekundu, nyeupe na waridi.

Matamshi

mlasa

/mlasa/