Ufafanuzi wa mlaso katika Kiswahili

mlaso

nominoPlural milaso

  • 1

    damu inayokingwa kutoka kwa mnyama na kutengenezwa kinywaji au kupikwa kwa ajili ya chakula.

Matamshi

mlaso

/mlasɔ/