Ufafanuzi wa mlawiti katika Kiswahili

mlawiti

nomino

  • 1

    mwanamume anayewafira wanaume wenzake.

    mfiraji, basha, afande

Matamshi

mlawiti

/mlawiti/