Ufafanuzi wa mlei katika Kiswahili

mlei

nominoPlural walei

Kidini
  • 1

    Kidini
    muumini wa baadhi ya madhehebu ya Ukristo anayetoa huduma kanisani na ambaye hana daraja katika kanisa.

Asili

Kng

Matamshi

mlei

/mlɛji/