Ufafanuzi wa mlele katika Kiswahili

mlele

nominoPlural milele

  • 1

    unyoya mrefu wa mkia wa ndege ambao, agh. hutumiwa na wachezaji ngoma kujipambia.

    ‘Mlele wa jogoo’

Matamshi

mlele

/mlɛlɛ/