Ufafanuzi msingi wa mlembe katika Kiswahili

: mlembe1mlembe2

mlembe1

nominoPlural milembe, Plural walembe

 • 1

  kitambaa kinachotumiwa na mwanamke kujihifadhi akiwa katika hedhi.

  sodo

 • 2

  kitambaa kinachotumiwa kujisafisha baada ya kujamiiana.

Matamshi

mlembe

/mlɛmbɛ/

Ufafanuzi msingi wa mlembe katika Kiswahili

: mlembe1mlembe2

mlembe2

nominoPlural milembe, Plural walembe

 • 1

  ndege wa rangi ya kijivu na nyeupe mashavuni na manjano mabegani apendaye asali na ambaye huongoza warinaasali hadi asali ilipo.

  mchocheamvua

Matamshi

mlembe

/mlɛmbɛ/