Ufafanuzi wa mlenda katika Kiswahili

mlenda

nominoPlural milenda

  • 1

    mmea ambao majani yake yakifikichwa au kupata maji huteleza na hutumika kuwa ni mboga.

    ‘Mboga ya mlenda’

Matamshi

mlenda

/mlɛnda/