Ufafanuzi wa mlimi katika Kiswahili

mlimi

nominoPlural walimi

  • 1

    mtu mwenye maneno mengi.

  • 2

    mtu anayetoa hadithi au ngano kwa muda mrefu.

Matamshi

mlimi

/mlimi/