Ufafanuzi wa mlingano katika Kiswahili

mlingano

nomino

  • 1

    hali ya kufanana kwa vitu.

    mfanano, mshabaha

Matamshi

mlingano

/mlinganÉ”/