Ufafanuzi wa mlinzi katika Kiswahili

mlinzi

nominoPlural walinzi

  • 1

    mtu ambaye kazi yake ni kuangalia usalama wa mahali fulani; mtu mwenye kulinda kinachotakiwa kuhifadhiwa na kutunzwa.

    gadi, mlindaji, mlinda, askari

  • 2

    beki

Matamshi

mlinzi

/mlinzi/