Ufafanuzi wa mlishaji katika Kiswahili

mlishaji

nomino

  • 1

    mtu anayesambaza huduma ya chakula k.v. kwenye shule na hospitali.

Matamshi

mlishaji

/mli∫aʄi/