Ufafanuzi wa mlizamu katika Kiswahili

mlizamu

nominoPlural milizamu

 • 1

  chombo maalumu kinachotumiwa kutilia vitu viowevu k.v. mafuta au maji ndani ya kitu chenye mdomo mwembamba k.v. chupa.

  faneli

 • 2

  maji yanayochuruzika kwenye kingo za mto kama mfereji mdogo.

  mchirizi

 • 3

  kifereji cha kupitishia maji.

Asili

Kar

Matamshi

mlizamu

/mlizamu/