Ufafanuzi wa mmaka katika Kiswahili

mmaka

nominoPlural mimaka

  • 1

    mmea unaopandwa au kuota zaidi makaburini.

    msanapiti

Matamshi

mmaka

/m maka/