Ufafanuzi wa mmea katika Kiswahili

mmea

nominoPlural mimea

  • 1

    kitu chenye uhai chenye majani, shina na mizizi.

  • 2

    chochote, agh. chenye rangi ya kijani, kinachoota kutokana na chembe, mbegu au tawi.

Matamshi

mmea

/m mɛja/