Ufafanuzi wa mmwaka katika Kiswahili

mmwaka

nomino

  • 1

    mti ambao mizizi yake hutumika kuwa ni dawa na matunda yake huweza kufulia nguo.

    mmoyomoyo, mharita

Matamshi

mmwaka

/m mwaka/