Ufafanuzi wa mmwangaluchi katika Kiswahili

mmwangaluchi

nomino

  • 1

    mmea unaozaa matunda madogomadogo yanayofanana na kunde na ambayo yakipasuka hutoa mbegu.

    mtipitipi, mturituri

Matamshi

mmwangaluchi

/m mwangalutʃi/