Ufafanuzi wa mnadani katika Kiswahili

mnadani

kielezi

  • 1

    mahali panapouzwa vitu kwa njia ya kuvinadi.

    lilamu

Asili

Kar

Matamshi

mnadani

/mnadani/