Ufafanuzi wa mnandi katika Kiswahili

mnandi

nomino

  • 1

    ndege mkubwa mwenye rangi nyeupe tumboni, shingo ndefu na miguu mifupi kama ya bata na hukaa baharini, mtoni au ziwani akiwinda samaki.

Matamshi

mnandi

/mnandi/