Ufafanuzi wa mnato katika Kiswahili

mnato

nominoPlural minato

  • 1

    hali ya ugandamanaji wa vitu kwa pamoja kama vile kwa kuwekewa gundi.

Matamshi

mnato

/mnatɔ/