Ufafanuzi wa mnepo katika Kiswahili

mnepo

nomino

  • 1

    upindaji na unyokaji wa kitu kisichovunjika k.v. hinzirani.

Matamshi

mnepo

/mnɛpɔ/