Ufafanuzi wa mng’ongo katika Kiswahili

mng’ongo

nominoPlural ming’ongo

  • 1

    mti mkubwa wenye umbo kama mkuyu ulio na majani madogomadogo na matunda madogo ya mviringo yaitwayo ng’ongo yanayoliwa, magome na mizizi yake ni dawa ya ugonjwa wa kifaduro.

Matamshi

mng’ongo

/mŋɔngɔ/