Ufafanuzi wa mngurumo katika Kiswahili

mngurumo, ngurumo

nomino

  • 1

    sauti kubwa na nzito inayotokana na kitu k.v. radi, gari, eropleni au mnyama k.v. simba.

    ‘Simba alipopiga mngurumo mmoja tu sote hatukujitambua’
    ‘Huo ni mngurumo wa eropleni’
    mrindimo