Ufafanuzi wa mnimbi katika Kiswahili

mnimbi

nominoPlural minimbi

  • 1

    samaki mkubwa wa kadiri mwenye rangi inayong’aa na huvuliwa kwenye maji makuu.

    mwananumbi

Matamshi

mnimbi

/mnimbi/