Ufafanuzi wa mnju katika Kiswahili

mnju

nominoPlural minju

  • 1

    kishungi cha kipande cha nyama kilichoko juu ya kichwa cha ndege k.v. jogoo; upanga wa jogoo.

    undu

Matamshi

mnju

/mnʄu/