Ufafanuzi wa mnumanuma katika Kiswahili

mnumanuma

nomino

 • 1

  mchawi
  and → mshirikina

 • 2

  mtundu

 • 3

  mtu mwenye kujua mambo ya uganga.

Matamshi

mnumanuma

/mnumanuma/