Ufafanuzi wa mnung’unikaji katika Kiswahili

mnung’unikaji

nomino

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kutoridhika na kila anachopewa; mtu asiyeridhika na mambo.

Matamshi

mnung’unikaji

/mnuŋunikaʄi/