Ufafanuzi wa mnyakuzi katika Kiswahili

mnyakuzi

nomino

  • 1

    mtu anayenyakua kitu ghafla bila idhini na kukimbia nacho.

Matamshi

mnyakuzi

/mɲakuzi/